Kuna vitu vingi vinavyotumiwa kusafisha miili yetu, hutusaidia kukaa safi. Faili hii ina picha za vitu tofauti vinavyotumiwa kusafisha miili yetu kwa mfano, sabuni, dawa ya meno, taulo, na kadhalika.
Category: Hygiene
Paper size: A4
Complete File: Has 2 MS word files & 2 Print ready PDF files with a variety of pictures of Vifaa vya usafi wa mwili